KARIBU

Jukwaa la Wachagawote
Duniani

Kuwaunganisha, Kuelimisha, Kuendeleza

Jukwaa huru la kidijitali linalowaunganisha Wachaga wote ndani na nje ya Tanzania kwa lengo la kuhifadhi utamaduni, kuimarisha mshikamano, na kuchochea maendeleo ya pamoja.

Sisi kwa Sisi Ushira
+255759310090
wachagawote@gmail.com
Dar es Salaam, Tanzania
Wachagawote
8,200+Wanajamii
3Mifumo Shirikishi
350+WhatsApp

Viwango vya Mpango wa Sisi kwa Sisi

Chagua kiwango kinachokufaa na uanze kukua pamoja nasi

Kuanzia
1,100

TZS kwa siku

Pokea hadi

100,000

TZS

Washiriki 100 • Miezi 3

Chagua Kiwango
Maarufu
2,200

TZS kwa siku

Pokea hadi

200,000

TZS

Washiriki 100 • Miezi 3

Chagua Kiwango
Malengo Makubwa
5,500

TZS kwa siku

Pokea hadi

500,000

TZS

Washiriki 100 • Miezi 3

Chagua Kiwango
Uwekezaji wa Kati
11,000

TZS kwa siku

Pokea hadi

1,000,000

TZS

Washiriki 100 • Miezi 3

Chagua Kiwango
Malengo ya Juu
22,000

TZS kwa siku

Pokea hadi

2,000,000

TZS

Washiriki 100 • Miezi 3

Chagua Kiwango
Tazama Maelezo Kamili

Mifumo Yetu ya Ushirikiano

Chagua eneo unalolipenda kushiriki - kila moja lina maelezo ya kina na utaratibu wake maalum

Sisi kwa Sisi

Ni Mpango wa kuinuana kifedha kwa Mzunguko wa Michango ya kila Siku.

  • Viwango vya Kila Siku: 1,100 - 22,000 TZS
  • Mzunguko wa uhakika na ratiba rasmi
  • Usimamizi kwa uwazi na nidhamu
  • Zaidi ya washiriki 120+
Tazama Maelezo Kamili
Bofya kwa maelezo ya kina: hesabu, faida, jinsi ya kujiunga

USHIRA

Umoja wa Shida na Raha - kusaidiana katika shida na kushirikiana katika furaha.

  • Msaada wa haraka kwenye shida
  • Ushirikiano kwenye matukio ya furaha
  • Wanachama zaidi ya 120
  • Uongozi unaojitegemea
Jifunze Kuhusu USHIRA
Wachagawote ni jukwaa la kutangaza tu - USHIRA una uongozi wake

WhatsApp Community

Jiunge na majadiliano na upate taarifa kwa wakati halisi.

  • Taarifa za kila siku
  • Majadiliano ya moja kwa moja
  • Matangazo ya matukio
  • Wanachama 350+
Pata Kiungo cha WhatsApp
Bofya kupata kiungo cha kujiunga mara moja

Mpango wa Sisi kwa Sisi

Mbinu mbalimbali za upatu zinazotumika kwa sasa.

  • Mpango wa Kila Siku 1100
  • Mpango wa Kila Siku 2200
  • Mpango wa Kila Siku 5500
  • Mpango wa Kila Siku 11000
Tazama Aina Zote

Elimu na Mafunzo

Semina na mafunzo mbalimbali kwa ajili ya jamii.

  • Mafunzo ya ujasiriamali
  • Semina za utamaduni
  • Warsha za maendeleo
  • Elimu ya fedha
Angalia Ratiba

Fursa za Maendeleo

Fursa za kiuchumi na kimaendeleo kwa Wachaga.

  • Fursa za biashara
  • Mitaji na fedha
  • Ushirikiano wa kiuchumi
  • Mtandao wa wafanyabiashara
Tazama Fursa

Dira na Dhamira Yetu

Tunajenga jamii yenye mshikamano imara na maendeleo endelevu

DIRA YETU

Kuwa jukwaa linaloongoza kwa kuwaunganisha Wachaga duniani, kuhifadhi utamaduni wetu tajiri, na kujenga jamii yenye mshikamano imara na maendeleo endelevu.

DHAMIRA YETU

Kuunda mfumo shirikishi unaowawezesha Wachaga kubadilishana uzoefu, maarifa na rasilimali kwa lengo la kuinua hali ya maisha ya kila mmoja na jamii kwa ujumla.

MAADILI YETU

Uwazi, Uwajibikaji, Mshikamano, Usalama, Nidhamu na Ushirikiano - ndio nguzo zinazotuongoza katika kila tunachofanya.

Mpango wa Sisi kwa Sisi

Mkombozi wa kiuchumi kwa akina mama na vijana wenye maono ya mafanikio.

Mkombozi wa Akina Mama

Inawapa akina mama uwezo wa kupata mitaji ya mzunguko kila siku bila riba wala masharti magumu, kukuza biashara zao na kuleta heshima ndani ya familia kupitia mshikamano.

Mtaji kwa Vijana

Sisi kwa Sisi inageuza mzunguko wa siku 100 kuwa daraja la vijana kuanzisha miradi mipya. Ni shule ya nidhamu ya kifedha inayokuandaa kuwa mfanyabiashara mkubwa wa kesho.

Ukuaji wa Pamoja

Wanachama wanapata uwezo wa kufanya uwekezaji ambao peke yao isingekuwa rahisi. Huu ni mkakati wa dhati wa kukuza mzunguko wa pesa (Cashflow) kwa kila mwanajamii.

Jiunge Nasi Leo
Karibu Uwe Mwanafamilia

Jiunge na Wachagawote Leo!

Kuwa sehemu ya jamii inayothamini utambulisho, mshikamano na maendeleo ya pamoja. Wachagawote ni jukwaa huru la kidijitali linalowaunganisha Wachaga wote duniani kote.

8,200+ Wanajamii
3 Mifumo
350+ WhatsApp
24/7 Msaada

Iwe unatafuta kujiunga na Sisi kwa Sisi au USHIRA – tunakukaribisha kwa mikono miwili.

Kumbuka: Sisi kwa Sisi si mkopo wala uwekezaji. Ni makubaliano ya hiari ya kukua pamoja.

Chagua njia ya kushiriki inayokufaa:

Sisi kwa SisiKunyanyuana Kiuchumi
USHIRAShida na Raha
Taarifa Zinalindwa Uwazi Kamili
WACHAGAWOTE

Jukwaa huru la kidijitali linalowaunganisha Wachagawote duniani kwa utambulisho, mshikamano na maendeleo ya pamoja. Tumejengwa juu ya misingi ya uwazi, uwajibikaji na heshima.

Jukwaa

Kuhusu Sisi Sisi kwa Sisi Ushira Jiunge

Msaada

Sheria za Tuinuane Sera za Faragha

Wasiliana Nasi

Simu+255759310090
Barua Pepewachagawote@gmail.com
AnwaniDar es Salaam, Tanzania

© 2026 Wachagawote. Haki zote zimehifadhiwa. | Designed by Mr Ballo