Sisi kwa Sisi | Wachagawote

SISI KWA SISI

Tuinuane Kila Siku – Mpango wa Kunyanyuana Kiuchumi

Sisi kwa Sisi ni nini?

SISI KWA SISI ni mpango wa kijamii wa kusaidiana kifedha kwa mfumo wa mzunguko wa michango. Ilianzishwa na Jukwaa la Wachagawote kwa lengo la kuwawezesha washiriki kunyanyuana kiuchumi kwa njia ya uwazi, nidhamu na kuaminiana.

Si mkopo, si uwekezaji, wala si taasisi ya kifedha. Ni makubaliano ya hiari kati ya washiriki.

SI mkopo
SI uwekezaji
NI ushirikiano wa hiari
NI mshikamano wa jamii

Maana ya Sisi kwa Sisi

“Tunakua pamoja, sio mmoja mmoja”

Jina Sisi kwa Sisi linatokana na falsafa ya ushirikiano: kwa kushirikiana tunaweza kufanikisha mambo makubwa kuliko tunavyoweza kufanya wenyewe. Katika ulimwengu wa ubinafsi, mpango huu unakumbusha thamani ya mshikamano na kuaminiana.

Ushirikiano: Kutegemeana
Kuaminiana: Msingi wa mpango
Kunyanyuana: Kila mtu anafaidika

Mfumo wa Mzunguko

WASHIRIKI100
MUDAMiezi 3
KILA SIKUmtu anapokea
RATIBAkabla ya kuanza
Kila mzunguko una washiriki 100 na huchukua siku 100 (miezi ~3). Kabla ya kuanza, kila mshiriki anapokea ratiba yake. Kila siku mshiriki mmoja anapokea kutoka kwa wengine 99.

Namna ya Kushiriki

1

Chagua Kiwango

1,100 | 2,200 | 5,500 | 11,000 | 22,000

2

Thibitishwa

Uthibitisho kabla ya kujiunga

3

Tuma Kila Siku

Tuma kiasi ulichochagua

4

Pokea Siku Yako

Pokea kiasi kikubwa siku yako

Viwango vya Michango

Mzunguko wa miezi 3 • Washiriki 100 • Kila siku anapokea mtu

1,100

TZS kwa siku

Kuanzia
NafasiKutumaKupokea
11,100100,000
22,200200,000
33,300300,000
44,400400,000
55,500500,000
66,600600,000
77,700700,000
88,800800,000
99,900900,000
1011,0001,000,000
Kiwango cha kuanzia: kwa kuchangia 1,100 TZS kwa siku, nafasi ya 10 unapokea 1,000,000 TZS.

2,200

TZS kwa siku

Maarufu
NafasiKutumaKupokea
12,200200,000
24,400400,000
36,600600,000
48,800800,000
511,0001,000,000
613,2001,200,000
715,4001,400,000
817,6001,600,000
919,8001,800,000
1022,0002,000,000
Kiwango maarufu: jumla ya kuchangia 220,000 TZS, nafasi ya 10 unapokea 2,000,000 TZS.

5,500

TZS kwa siku

Malengo makubwa
NafasiKutumaKupokea
15,500500,000
211,0001,000,000
316,5001,500,000
422,0002,000,000
527,5002,500,000
633,0003,000,000
738,5003,500,000
844,0004,000,000
949,5004,500,000
1055,0005,000,000
Nafasi ya 10 unapokea 5,000,000 TZS – kiasi cha kuanzisha biashara.

11,000

TZS kwa siku

Uwekezaji wa kati
NafasiKutumaKupokea
111,0001,000,000
222,0002,000,000
333,0003,000,000
444,0004,000,000
555,0005,000,000
666,0006,000,000
777,0007,000,000
888,0008,000,000
999,0009,000,000
10110,00010,000,000
Nafasi ya 10 unapokea 10,000,000 TZS – hatua kuelekea uhuru wa kifedha.

22,000

TZS kwa siku

Malengo ya juu
NafasiKutumaKupokea
122,0002,000,000
244,0004,000,000
366,0006,000,000
488,0008,000,000
5110,00010,000,000
6132,00012,000,000
7154,00014,000,000
8176,00016,000,000
9198,00018,000,000
10220,00020,000,000
Kiwango cha juu: nafasi ya 10 unapokea 20,000,000 TZS.

Faida za Kushiriki

Hakuna Riba

Tofauti na mikopo ya benki, hakuna riba wala gharama za ziada. Unachotoa ndio unachopokea kwa wingi.

Mshikamano wa Jamii

Unajenga uhusiano na watu wanaolenga kukua pamoja. Mtandao wa washiriki unaweza kufungua fursa nyingine.

Kujiwekea Malengo

Unajenga nidhamu ya kifedha kwa kutuma kila siku. Hii inakusaidia kuweka na kufikia malengo yako.

Nidhamu na Uwazi

Uthibitishaji

Kila mshiriki anathibitishwa kabla ya kujiunga. Hakuna majina bandia.

Ratiba Rasmi

Kila mzunguko una ratiba yake inayotolewa kabla ya kuanza.

Faini za Kuchelewa

Kuchelewa kutuma kuna faini – inajenga nidhamu na kuhakikisha mzunguko unaendelea vizuri.

Usimamizi wa Uwazi

Jukwaa la Wachagawote linasimamia uwazi na kutoa taarifa kwa wakati.

Maswali ya Mara kwa Mara

Je, hii ni mkopo?

Hapana! Sisi kwa Sisi si mkopo, si uwekezaji, wala si taasisi ya kifedha. Ni mpango wa kijamii wa kusaidiana kwa hiari kati ya washiriki.

Nikikosa kutuma siku moja?

Kuna faini ya kuchelewa. Endapo itachelewa zaidi ya siku 90, mshiriki anaweza kufutwa kwenye mzunguko.

Ninawezaje kujiunga?

Jaza fomu ya usajili hapa chini au piga simu +255 759 310 090. Utathibitishwa na kuwekwa kwenye mzunguko unaofuata.

Je, ninaweza kubadilisha kiwango?

Unaweza kuchagua kiwango unachotaka kabla ya kujiunga. Baada ya mzunguko kuanza, huwezi kubadilisha hadi mzunguko mpya.

Muda wa Usajili

Inaendelea

Usajili wa Group la 1100

Usikose nafasi ya kujiunga na group la kwanza la 1100. Usajili unafungwa ndani ya muda uliobaki hapa chini.

00
Siku
:
00
Masaa
:
00
Dakika
:
00
Sekunde
Deadline: 1 Aprili 2026, 00:00 EAT

Usajili Umefungwa Rasmi

Usajili wa group la kwanza la 1100 umefungwa rasmi. Tutawajulisha pindi tutakapoanzisha group la pili na la tatu.

Imefungwa

Anza Safari Yako Leo

Hatua ya kwanza ni kuzungumza nasi. Piga simu, tuma ujumbe wa WhatsApp, au jaza fomu ya usajili hapa chini.

SIMU+255759310090
WHATSAPP+255759310090
BARUA PEPEwachagawote@gmail.com
Jaza Fomu ya Usajili
Mpango wa Sisi kwa Sisi

Jisajili Kuwa Mshiriki

Jaza fomu hii ili kujiunga rasmi. Taarifa zako zitapokelewa moja kwa moja na kuhifadhiwa salama.

    ✔ Hakuna malipo ya usajili

    ✔ Utathibitishwa baada ya siku 1-2

    ✔ Chagua kiwango kinachokufaa

    ✔ Taarifa zako zitalindwa kikamilifu

Kwa kubofya 'Jiandikishe', unathibitisha kuwa umesoma na kukubali Utaratibu na Sheria.