Jumapili Tarehe 19 June 2022 tutakuwa na kikao cha 6 cha Umoja wa Wachagawote kwa Wachaga wanaishi hapa Dar es Salaam.(hata kama bado haujajiandikisha unaruhusiwa kuhudhuria)
Kikao kitafanyika LEGO BAR(Sinza Lego jirani kabisa na hoteli ya Rombo Green View)
Muda ni saa 10 hado saa 12 na nusu jioni.
Tafadhali jitahidi kufika muda sahihi tuendelee na hatua nyingine kuujenga Umoja wa Wachagawote
Kwa maelezo zaidi simu: 0659310000
